Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Nimefungua nikaona vile unapiga fuko la mahela teke......think twice nitonye.....hii ni baraka (source😡King'asti) baba usiichezee manake haiji mara mbili!

Pesa ni maua huchanua na kunyauka
 
Last edited by a moderator:
Ukiona zinaanza kunyauka nyeshea kila siku asubuhi na jioni wala hazitanyauka kamwe!

Embu niambie mama kilichokusibu nini najua sio akili yako just tell me
 
Wee unasema! Umesahau tulivyodhalilishwa humu kwaajili yako.
Wala usijipe shau.....
Nitakukuda ohoooooo bado tuna maumivu
Au untaka umchukue na Nitonye?

Tatizo mnashoboka na masharo wa Arachuga watawatenda mbofu we Bishanga alisema anaanza kukupenda mbona hujamfatilia dawa ni kushoboka na vibabu japokuwa havijatulia
 

Kweli nimeamini mbaya wako ni yule unayekula naye.....Hata bishanga anatoa ushauri kwenye hili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…