Alichonitendea mke wangu sitosahau

Alichonitendea mke wangu sitosahau

Hahah dah 😃😃 yani nilivyoona title nikajua tayari kumbe dah hah
 
Duh boxer ndo umeona bonge la surprise? Mbona kitu cha kawaida? Watu hatuko kwenye ndoa tukimpenda mtu kumpiga viwalo vya nguvu raba kaliii naona kawaida, boxer tu umedata? Au wengine hatujakuta na wanaotupenda jamani?

Maana mwingine unajitutumu unamnunulia nguo za maana kiatu kikali unaagiza kikuu, eti ukimpa anaona kawaida mwisho asante😁😁😁 ukiangalia laki laki mbili zimekata, jamani nguo za kiume ni gariiiii loh.

Anyway, nimependa unavyomkubali mkeo, shukuru kwa kila jambo, Mara nyingi wanawake tunaotoa kwenye mahusiano, tunapata wanaume wabahili hata cheni hawezi kukununulia.
 
Uko sahiii!hii ndo sehemu ya kuonesha furaha yako jaman furaha haizuilik,by the way nkutakie kila la kheri kwenye mechi ya leo
 
Ukute hiyo pesa ya mahemezi kahongwa na pedeshe mjini hapo halafu na wewe mzee baba unatumikishwa.
 
Tatizo sio boxer ni namna alivyoitoa yaani kale ka ujumbe alicho kandika kwenye kikaratasi cha boxer..... for sure gharama si mpenzi bali moyo
Duh boxer ndo umeona bonge la surprise? Mbona kitu cha kawaida? Watu hatuko kwenye ndoa tukimpenda mtu kumpiga viwalo vya nguvu raba kaliii naona kawaida, boxer tu umedata? Au wengine hatujakuta na wanaotupenda jamani?

Maana mwingine unajitutumu unamnunulia nguo za maana kiatu kikali unaagiza kikuu, eti ukimpa anaona kawaida mwisho asante[emoji16][emoji16][emoji16] ukiangalia laki laki mbili zimekata, jamani nguo za kiume ni gariiiii loh.

Anyway, nimependa unavyomkubali mkeo, shukuru kwa kila jambo, Mara nyingi wanawake tunaotoa kwenye mahusiano, tunapata wanaume wabahili hata cheni hawezi kukununulia.
 
Back
Top Bottom