Alichoongea Ney wa Mitego baada ya kutoka Central Police

Alichoongea Ney wa Mitego baada ya kutoka Central Police

Ceasar the merciful a.k.a Magu the marciful no rule of law wala separation of power
Hahaha, eti Caesar the merciful.

Ulivyomtaja Caesarumenikumbusha muandishi mmoja wa habari muhuni,alikuwa rafiki yake Nyerere.

Siku mojaNyerere alikuwa anasaidi sheria, huyu jamaa alikuwa shuhuda nyuma yake.

Nyerere alivyomaliza kusaini, muandishi akamtania "Pale ulipoandika Julius, nikafikiri utamalizia Caesar".

Nyerere alicheka naye, hakumwambia "Watch it"

Nyerere.jpg
 
umebadilika sana siku hizi,au nakufananisha?

2020 tushirikiane kumkataa Magufuli na Lowassa kwa Pamoja[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Au unasemaje Binamu ?

Huyu Rais gani anataka mpaka kupangia wasanii mistari? Eti aseme na Wakwepa kodi wapo!!! Yeye hataki kupangiwa halaf anataka kuwapangia wenzie
 
Ney hasimsahau Gwajima kwenye ufalme wake.

Hakikishe anakuwepo Kwenye video iende ikafanyike Koromije na Daudi Bashite awemo
 
Basata ni wababaishaji tu kwanza naona ni kama kikundi cha waganga njaa nilishawahi kukutana nao wakati nafanya kazi klabu moja ya usiku walipita na kudai kiasi cha laki moja kwa ajili ya nyimbo zilizokuwa zikipigwa kuburidisha wateja niliwashangaa sana
 
Kumruhusu ni kwamba alichoongea ni ukweli na hakina uchochezi
Mimi nadhani awe makini , huenda anaandaliwa zengwe zito. Maana kwa ujumbe wa wimbo huo si kirahisi kihivyo mkuulu kumuacha isitoshe kum_ support pia!
 
Fact isijekuwa wanatafuta njia ya kumpoteza
Naam! Awe makini sana. Tabia ya mkuu ilivyo si ya kukubali kuitwa" doctor wa majipu, ndugu yake yesu, asiyetaka ushauri wala kukosolewa na pia eti amelogwa" halafu afurahie tu kirahisi. Namshauri Ney awe care kuliko kawaida. Huenda siku za usoni akapotezwa kimya kimya Na wakati huo hakutakuwa na mtu wa kutaharuki kama ambayo angetendewa hayo siku chache baada ya kukamatwa
 
Kabisa mi mwenyew ilinishtua kiukwel mtu kapelekwa central mara kaachiwa na kuambiwa wimbo.wake ni mzur kirahis tu
 
Back
Top Bottom