A
Anonymous
Guest
Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy.
Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi iliyopo, watumishi wa afya hasa wauguzi hawapati stahiki yao ya mshahara kulingana na Level yao ya Elimu ndio maana mpaka leo mwenye degree analipwa TGHS C ambayo ilipaswa alipwe mtu aliyesoma miaka mitatu.
Muuguzi ambaye ni Specialist hadi leo hana mshahara wa speciality yake hii yote ni kutokana na kutokuwa na Muundo mpya na malengo mapya yakiutendaji.
Hizi changamoto ziko hadi kwa taaluma nyingine za afya ikiwemo Physiotherapy, na nyingine mpya zilizoanzishwa hivi karibuni.
Hali na molari ya utendaji wa majukumu imeshuka ndani ya Sekta ya Afya na ni hatari tunakoelekea.
Serikali itekeleze wajibu na sio kuwanyamazisha watumishi na viongozi sekta ya Afya nchini.