marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
"Kwetu mashabiki sio mchezaji wa 12, ni mchezaji wa kila nafasi uwanjani. Tunashinda lakini mashabiki wanachangia sana"- Haji Manara. #NguvuMoja
"Simba ndio timu ambayo imeongoza msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kujaza mashabiki uwanjani. Tunataka tuliendeleze hilo mwaka huu."- Haji Manara. #NguvuMoja
"Na bahati nzuri mchezo wetu wa Ligi ya Mabingwa umepangwa siku nzuri. Utakuwa Jumapili saa 10 jioni."- Haji Manara. #NguvuMoja
"Tunataka mashabiki mshabikie mwanzo mwisho. Tusisubiri mpaka Shiboub apige mtu chenga, mashabiki tunaenda uwanjani kushabikia."- Haji Manara. #NguvuMoja
"UD Songo sio timu ya kupeza. Tumeona mechi yao wamecheza vizuri. Nawaomba mashabiki wa Simba siku hiyo tujitokeze kwa wingi."- Haji Manara. #NguvuMoja
"Kwa mashabiki wa Simba hii ni Champions League, kazi yetu mashabiki ni kushabikia, twendeni."- Haji Manara. #NguvuMoja
"Matumaini yangu tutawatoa UD Songo. Kwa maandalizi yetu, mipango na mapenzi ya Mungu tutashinda."- Haji Manara. #NguvuMoja
VIINGILIO VYA JUMAPILI TAIFA
5,000/=, 15,000/=, 30,000/=
Platinum 100,000/=
Platinum plus 150,000/=
UD Songo watawasili Ijumaa.
SIMBA NGUVU 1[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1377][emoji1377]
WE ARE SIMBAAAAA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji382][emoji382]
Usipitwe na chochote kuhusu Simba sc
[emoji116][emoji116][emoji116]simba [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
urlzs.com

Simba Online Tv - Apps on Google Play
Hii ni application inayokuwezesha kupata kiundani mambo yanayohusu timu yako pendwa ya Simba Sc ikionyesha baadhi ya mambo kama mechi zitakazochezwa, kambi ya timu na vitu vingi vingine.