Alichosema Waziri Mkuu wa Italia kinaendana na Tanzania ya sasa hivi?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa hivi samaki (baharini) Tanzania wamekwisha wamevuliwa wote na foreigners, wamebakia kambale tu, anyway nisikuchoshe msikilize mwenyewe na amua mwenyewe!

 
Huku kwetu kesho watu wa madini wangeandamana kumpinga waziri mkuu na kumuomba msamaha beesqueen.
 
Ni lini wavuvi wataandamana kupinga kauli hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…