Alichoweka Baleke kwenye Instastory yake leo

Kama amejipost kabla Yanga hawajamtangaza basi huyu atakuwa na akili ya mpira tu, ila kichwa ni maji
Mchezaji anakua halali baada ya kusaini mkataba na timu sio baada ya kutangazwa na timu.matangazo nikwaajili ya mashabiki sio mchezaji.Kuna mchezaji timu fulani walimpost kwenye mtandao kumbe timu yake hawajamalizana matokeo yake akarufi alikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…