Alie tayari kuolewa mke wa tatu anitafute tafadhali

MwaFricamweuSiTii

Senior Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
125
Reaction score
121
"Nimewahi kuomba ushauri hapa JF kuusu wake zangu wawili kama mtakumbuka umri nilishataja nilipata ushauri mzuri wengine walizingua mana huwa hawakosekani katika jamii ni kawaida sana kuwapo watu hawa ...

" Kama maneno yalivyo hapo juu natafuta mtu ambae ataridhia mwenyewe bila kuhusisha msukumo wowote kutoka kwa mtu mwingine ...

" Ajifikirie mwenyewe ajirizishe vyakutosha ndipo afanye maamuzi sahihi , Kuusu mambo muhimu na ya msingi kama mke atayapata bila matatizo insha Allah ...

" Alie tayari aje kule kule tunapo weza kuyajenga kwa upana bila wengi kujua hata kama unarafiki yako unae mjua yuko sawa wewe mlete vigezo ni mimi nayeye tutajadili hakuna sababu ya kuweka hapa ... ( Nazungumzia mke wa tatu ) ieleweke vizuri sana asije baadae akaleta michango ya kifedhuli

Rejea: Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu
 
Aiseeee kazi kweli kweli eti utasikia wanawake tunasema hatuolewi
 
Mkuu umeshindwa kuridhika na wawili hata ukipewa watano bado hawatakufaa tu.

Nikupe mfano, hapa ninapoishi kwa sasa kuna jamaa ana wake watatu, na bado anachepuka na wapangaji wa humo ndani alimo na juzi juzi kaletwa.kesi ya fedheha katembea na shoga.

Ndiok nilisema kamahuwezimkuridhika na mke mmoja hata watano huwezi.
"Nimewahi kuomba ushauri hapa JF kuusu wake zangu wawili kama mtakumbuka umri nilishataja nilipata ushauri mzuri wengine walizingua mana huwa hawakosekani katika jamii ni kawaida sana kuwapo watu hawa ...

" Kama maneno yalivyo hapo juu natafuta mtu ambae ataridhia mwenyewe bila kuhusisha msukumo wowote kutoka kwa mtu mwingine ...

" Ajifikirie mwenyewe ajirizishe vyakutosha ndipo afanye maamuzi sahihi , Kuusu mambo muhimu na ya msingi kama mke atayapata bila matatizo insha Allah ...

" Alie tayari aje kule kule tunapo weza kuyajenga kwa upana bila wengi kujua hata kama unarafiki yako unae mjua yuko sawa wewe mlete vigezo ni mimi nayeye tutajadili hakuna sababu ya kuweka hapa ... ( Nazungumzia mke wa tatu ) ieleweke vizuri sana asije baadae akaleta michango ya kifedhuli
 
Ila huu ni uonevu jamani , Yaani mtu ilimradi akidhi tu haja ya moyo wake bila kujali hisia za mwingine afu mkewe akitoka nje ya ndoa atamuita malaya ama ?
Haya mambo tuwaachie wenyewe
 
Hivi tofauti ya mke wa pili na mchepuko ni Nini. Maana kuna watu nawajua hoja ya mke mwenza hawataki kuisikia kabisa ila ni michepuko ya watu.
 
Unawake wawili bado unataka mwingine wakati wenzio hata demu wa kusingiziwa hatuna. Dah kweli Mungu sio mzee Mkumba
 
Alafu unapenda kunichokoza sana

Subir dawa yako inachemka nitakufurahisha
Ngoja nisubiri, kuna thread zikianzishwa Lazima niwahi comments zako. Si unajua mi ni shrink by profession
 
Hivi tofauti ya mke wa pili na mchepuko ni Nini. Maana kuna watu nawajua hoja ya mke mwenza hawataki kuisikia kabisa ila ni michepuko ya watu.
Hapo ndo unajua wanawake si rahisi kuwaelewa. Imagine yeye ni mchepuko wa mtu ila mwabie unataka kuoa mke wa pili uone hilo povu!!!!!
 
Back
Top Bottom