MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeshindwa kuridhika na wawili hata ukipewa watano bado hawatakufaa tu.
Nikupe mfano, hapa ninapoishi kwa sasa kuna jamaa ana wake watatu, na bado anachepuka na wapangaji wa humo ndani alimo na juzi juzi kaletwa.kesi ya fedheha katembea na shoga.
Ndiok nilisema kamahuwezimkuridhika na mke mmoja hata watano huwezi.
Naona umejiweka halisihaaahhh sisy nataka kujaribu !
Wivu wa nn kwani hupati Huduma unayostahili? Wivu huja pale unapohisi kunyang'anywa mume. Binafsi napenda kuwa na mke zaidi ya mmoja ILA sharti wapendane na wakae Nyumba moja. Tunapika tunakul wote. Sio 3some lakiniWatu wana mioyo aiseee daaah ,mtu unaletewa mwenza daaah mimi na huu wivu wangu sijui ningefanyaje
Tukioa mke moja wengine hamtaolewa maana mnazaliwa kwa kasi ya 4G wakati wanaume wanazaliwa kwa kasi ndogo 2G hivyo kuweni na mioyo za kuwahurumia wanawake wenzenu ili wasikoswe nafasi za kuolewa ..Ila huu ni uonevu jamani , Yaani mtu ilimradi akidhi tu haja ya moyo wake bila kujali hisia za mwingine afu mkewe akitoka nje ya ndoa atamuita malaya ama ?
Naona umejiweka halisi