Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alvarez aliugusa mpira mara mbili.Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
Kabla hajapiga mpira aliugusa kwanza kwa mguu wa kushoto then akashuti,na kanuni inasema ikitokea hivyo penalty inakuwa cancelled na hairudiwi tena.Wanadai aligusa mpira mara 2,swali langu je ni kweli ule mpira alifanya double kicking?
Kila nikitizama ni kaugusa mara 1.. Labda kesho nitizame kwenye mwangaza, saa hizi macho ya kizee hayaoni vizuri.
So far hakuna video inayosuport hilo. Unless Uefa waitoe, ni controversial decision, hasa pale sheria inampa mwamuzi kurudia penalty.Wanadai aligusa mpira mara 2,swali langu je ni kweli ule mpira alifanya double kicking?
Kila nikitizama ni kaugusa mara 1.. Labda kesho nitizame kwenye mwangaza, saa hizi macho ya kizee hayaoni vizuri.
So far hakuna video inayosuport hilo. Unless Uefa waitoe, ni controversial decision, hasa pale sheria inampa mwamuzi kurudia penalty.
Labda Kesho Uefa watatoa video kwenye angle nzuri
Natafut hizi penatly sioniWanadai aligusa mpira mara 2,swali langu je ni kweli ule mpira alifanya double kicking?
Kila nikitizama ni kaugusa mara 1.. Labda kesho nitizame kwenye mwangaza, saa hizi macho ya kizee hayaoni vizuri.
Acha kujifanya mjuaji,nenda page ya Supersport utaona,So far hakuna video inayosuport hilo. Unless Uefa waitoe, ni controversial decision, hasa pale sheria inampa mwamuzi kurudia penalty.
Labda Kesho Uefa watatoa video kwenye angle nzuri
Double-kick hairudiwi.
Aligusa na mguu wa kushoto kwanza barely. ATM wamejichanganya wenyewe walimwaga maji mengi sana kwenye pitch.
Nyie mnaojua wekeni hio video iliyo clear. Weka link ya supersport inayoonesha.Acha kujifanya mjuaji,nenda page ya Supersport utaona,
Ukishindwa kuona na apo nenda kanywe kile kinywaji cha double kiki utaona vizuri ilo wenge litoke.
Naunga mkono hojaSo far hakuna video inayosuport hilo. Unless Uefa waitoe, ni controversial decision, hasa pale sheria inampa mwamuzi kurudia penalty.
Labda Kesho Uefa watatoa video kwenye angle nzuri
Nyie mnaojua wekeni hio video iliyo clear. Weka link ya supersport inayoonesha.
Ivi mkuu wewe ni mtu wa Kigoma??maana hao ndo wanaweza kubisha ata wakakuambia Raisi wa Tanzania bado ni Nyerere,.Nilipe nisepe hio picha ulioiweka na video yake vyote nimeviona, haioneshi chochote conclusive.
Usisahau VAR inatakiwa kuingilia pale tu kunapokua na Clear and Obvious Error,
Video ya kwanza ikionesha kwa mbele
View attachment 3268507
Video Ya pili kwa Nyuma
View attachment 3268508
Video zote hakuna Clear and Obvious Error hapo. Kama kuna video inayoonesha Uefa waitoe, so ni controversial decision.
Haionekan vizuri bana, usitake unachoona wewe watu wote waone hivyo. Ingekua inaonekana vizuri huu mjadala usingekuwepo ndio maana watu wengi mitandaoni wanasema atletico kaonewa. Pangekua na clear picture/video wote baada ya mechi wangekubali ukweli. Mimi pia sioni hapo kama kaugusa au hajaugusa Bado hio picha au video za mdau hazionyeshi vizuri.Ivi mkuu wewe ni mtu wa Kigoma??maana hao ndo wanaweza kubisha ata wakakuambia Raisi wa Tanzania bado ni Nyerere,.
Ivi apo unashindwa kuona aligusa na mguu wa kushoto adi mpira ukanyanguka juu kidogo??
Na VAR hairuhusiwi kuingilia kama hakuna Clear and Obvious Error.Haionekan vizuri bana, usitake unachoona wewe watu wote waone hivyo. Ingekua inaonekana vizuri huu mjadala usingekuwepo ndio maana watu wengi mitandaoni wanasema atletico kaonewa. Pangekua na clear picture/video wote baada ya mechi wangekubali ukweli. Mimi pia sioni hapo kama kaugusa au hajaugusa Bado hio picha au video za mdau hazionyeshi vizuri.