Alieelewa sababu za penati ya Atletico Madrid kukaliwa anieleweshe

Alieelewa sababu za penati ya Atletico Madrid kukaliwa anieleweshe

Nilipe nisepe hio picha ulioiweka na video yake vyote nimeviona, haioneshi chochote conclusive.

Usisahau VAR inatakiwa kuingilia pale tu kunapokua na Clear and Obvious Error,

Video ya kwanza ikionesha kwa mbele
View attachment 3268507

Video Ya pili kwa Nyuma
View attachment 3268508

Video zote hakuna Clear and Obvious Error hapo. Kama kuna video inayoonesha Uefa waitoe, so ni controversial decision.

Nadhani umejionea mwenyewe kwenye hiyo clip ya kwanza he did touch the ball with his left foot barely. In my opinion, as a die hard RM supporter, the call is very harsh hasa kwenye game kama hii common sense should have prevailed na hakuna mtu angepiga kelele.
 
Tatizo lenu mmezoea Mambo ya Simba na Yanga na kina Kayoko ,uku hamuwezi elewa.
 
Na VAR hairuhusiwi kuingilia kama hakuna Clear and Obvious Error.

For the sake of discussion assume ni kweli Alvarez kaugusa na miguu yote miwili hakuna ushahidi ambao upo clear, ilitakiwa decision ya uwanjani iendelee na VAR Isiingilie.
Kuna match fulani ya EPL ya Newcastle ilishawahi kutokea hili na VAR ikakataa ile penalty.
 
swali zuri sana ila sijawahi kujibiwa kimantiki kwa nini derby ya Yanga na Simba iliahirishwa.
Kimantiki Simba ni timu kubwa hapa nchini.
Bodi isingefanya vile maana yake amuachie last born akaadhirike kwa Mkapa au ateremshwe daraja.
Wewe uko tayari kuona umpendae kwa dhati anaadhirika au anapata shida na wewe unaouwezo wa kuzuia hilo?
 
Wanadai aligusa mpira mara 2,swali langu je ni kweli ule mpira alifanya double kicking?
Kila nikitizama ni kaugusa mara 1.. Labda kesho nitizame kwenye mwangaza, saa hizi macho ya kizee hayaoni vizuri.
vaa miwani mbili
 
.
 
Attachments

  • 20250313_104728.jpg
    20250313_104728.jpg
    149.4 KB · Views: 2
Wanadai aligusa mpira mara 2,swali langu je ni kweli ule mpira alifanya double kicking?
Kila nikitizama ni kaugusa mara 1.. Labda kesho nitizame kwenye mwangaza, saa hizi macho ya kizee hayaoni vizuri.
 
Haionekan vizuri bana, usitake unachoona wewe watu wote waone hivyo. Ingekua inaonekana vizuri huu mjadala usingekuwepo ndio maana watu wengi mitandaoni wanasema atletico kaonewa. Pangekua na clear picture/video wote baada ya mechi wangekubali ukweli. Mimi pia sioni hapo kama kaugusa au hajaugusa Bado hio picha au video za mdau hazionyeshi vizuri.
Mbona picha clear ipo mitandaoni.
 
Atletico Madrid wajilaumu wenyewe tu kwanza walimwaga maj meng uwanjan
 
Aliugusa mpira mara mbili na ndio maan mwisho aliteleza mpira ukapaa acheni ubishi
 
Back
Top Bottom