Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Keshagusa tayari.Naamini amejibiwa kwa vitendo na ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Niliwaambia hapa tumetikisa meza yenye vinywaji vya bei ya gharama kubwa lazima tulipe.Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Una puru la kuwapa?!!President who killed thousands just to maintain power, Justice should come to Tanzania as well, We call on international organisations to raise their voices.
"Who are you" wanakuja wewe mama Manyonyo.......subiri tukuone kwenye Helicopter ukipelekwa kwenye manowari. Fala na muuaji mkubwa. Mbona mmemwachia Thadei leo mbwa nyie.....Mngeona cha moto washenzi nyie.Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Hakuna mtu anaishi kwa taabu kama "who are you ". Haijawahi tokea Rais kutojulikana alipo. Sasa hivi hatujui yuko kwenye boma la mbuzi (Ikulu ndogo) au boma la ng'ombe (Ikulu Kuu). Hiyo ni kifungo kikubwa kwake.Amepata majibu. Vizuri tu. Loud and clear the voice is heard. Sijui alidanganywa na nani.