Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Meatu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Joseph Mwanambuke, ambaye jina lake halikufanikiwa kupenya katika orodha ya awali ya walioteuliwa kuwania nafasi hiyo ameonekana katika viunga vya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika tukio hilo lililoshuhudiwa hii leo, Mwanambuke alionekana akizungumza kwa ukaribu na Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Salum Mwalimu na baada ya hapo akasema kuwa wamejadili kuhusu mustakabali wa siasa na maendeleo mkoani Simiyu.