Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anapika CCM anapakua ChaumaMwanambuke alionekana akizungumza kwa ukaribu na Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Salum Mwalimu na baada ya hapo akasema kuwa wamejadili kuhusu mustakabali wa siasa na maendeleo mkoani Simiyu.
Lazima kuwa realistic! Uchaguzi haiwezi kusimama. Njia muafaka ni kukabiliana na CCM hususan yule anayekubalika ahamie chama kingine.Chauma nao ni wale wale tu, wao wako tayari kufanya uchaguzi katika hari ya namna hii sasa hao utasemaje wako sawasawa. Yatupasa tukomae nao na kuhama chama binafsi sioni kama ni dili, unahamaje na haujui kesho inakuchaje ...sie tunasema uchaguzi usimame wao ndo kwanza wanahangaika na vyama ..hapana.
Chaumma ni chama kinachojitegemea, hakiongozwi na chama kingine. Kila mmoja asimamie agenda yakeChauma nao ni wale wale tu, wao wako tayari kufanya uchaguzi katika hari ya namna hii sasa hao utasemaje wako sawasawa. Yatupasa tukomae nao na kuhama chama binafsi sioni kama ni dili, unahamaje na haujui kesho inakuchaje ...sie tunasema uchaguzi usimame wao ndo kwanza wanahangaika na vyama ..hapana.