Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 470
Naangalia sirizAlieko online muda huu jameni....... Unafanya nn na una mpango gani utakapoaamka??
Ukiamka una mpango gani????Naangalia siriz
Pole sana.Me nipo tuu mkono kwenye mkuki natafakali maisha..... Na pia nawaza asubuh nikiamka nikaludiane na ka mchepuko kangu
Hatukuachana aliniachaPole sana.
Kurudiana tena!
Mliachana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kibaya ni kwamba kwann tulimpa kula zetuMimi bado nimekaa nawaza kwa mapanasana kwanini DICTETA UCHWARA alizaliwa katika hii nchi!na kesho nitawaza hivohivo asubuhi na mapema.
Mkuu vp unafanya nn mpk tuache kelele????Hebu acheni kelele huko
Alikuacha?Hatukuachana aliniacha
Atakuwa yupo chooni si unajua kunavyotaka ukimyaMkuu vp unafanya nn mpk tuache kelele????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Atakuwa yupo chooni si unajua kunavyotaka ukimya
Sema hii kweli.... Tatizo ni mawazo haya nawaza huku mkuki unanisumbua mpk naanza kumuwazaAlikuacha?
Sasa inawezekanaje ukarudiane nae!
Sio yeye akurudie wewe?
Mkuki Moyoni.Sema hii kweli.... Tatizo ni mawazo haya nawaza huku mkuki unanisumbua mpk naanza kumuwaza