Alieko online

Alieko online

Innocenthezron

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
393
Reaction score
470
Alieko online muda huu jameni....... Unafanya nn na una mpango gani utakapoaamka??
 
Me nipo tuu mkono kwenye mkuki natafakali maisha..... Na pia nawaza asubuh nikiamka nikaludiane na ka mchepuko kangu
 
Mimi bado nimekaa nawaza kwa mapanasana kwanini DICTETA UCHWARA alizaliwa katika hii nchi!na kesho nitawaza hivohivo asubuhi na mapema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kibaya ni kwamba kwann tulimpa kula zetu
 
Back
Top Bottom