Kuna video hapa inasmabaa mitandaoni ya anaesadikika ni Dc kijana aliemaliza majukumu yake, naona mwitikio wa hio video umekuwa ni kinyume tofauti na lengo la alieisambaza
comments nyingi hasa kwa upande wa wanawake, wameonekana kumpa heshima yake kwa kigezo cha ukubwa wa maumbile yake (kajengewa heshima)
hii ingekuwani tofauti kabisa kama angekuwa na ki*ami* hakika angepatwa na aibu kubwa sana.
Sasa ndio nimejua kwanini watu wenye maumbile madogo huwa wanatumia pesa na muda mwingi kutafuta suluhisho la kurefusha uume. Unaweza kuwa na pesa, cheo, ni mrefu, una misuli, n.k lakini kama una umbile dogo basi jua hicho tayari una kipengere.
View attachment 2045201