Aliemnanga huyu bi. Harusi kwa kweli mungu anamuona!

Watu kama hao ukiwakuta wanakula utashangaa na roho yako.
Unakuta kaagiza supu,chapati,chai,mihogo,soda,maji na mayai ya kuchemsha.
Usiombe upande nae daladala,mtajambiwa mpaka matumbo yajae harufu mbaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.
Hakika ni vyema na haki kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Nami pia kwa Leo ni mzima wa afya kabisa namshukuru Mungu na nipo kibaruani sasa mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…