mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Nijaalie hali yako mdada.Hahahaaa. Weweeee.
Mzima lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijaalie hali yako mdada.Hahahaaa. Weweeee.
Mzima lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Watu kama hao ukiwakuta wanakula utashangaa na roho yako.
Unakuta kaagiza supu,chapati,chai,mihogo,soda,maji na mayai ya kuchemsha.
Usiombe upande nae daladala,mtajambiwa mpaka matumbo yajae harufu mbaya.
Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.Sijambo mpendwa wangu, hofu kwakooooooooo.
Hakika ni vyema na haki kumshukuru Mungu kwa kila jambo.Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.
Teh teh teh usikimbie mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawa rafiki nafurahi kusikia hivyo.Hakika ni vyema na haki kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Nami pia kwa Leo ni mzima wa afya kabisa namshukuru Mungu na nipo kibaruani sasa mpendwa.
Nashukuru sana mpendwa,naomba nikutakie na wewe kila la kheri na siku yenye Baraka tele.Sawa rafiki nafurahi kusikia hivyo.
Uwe na siku njema na kazi njema.
Amiin rafiki. Ahsante sana.Nashukuru sana mpendwa,naomba nikutakie na wewe kila la kheri na siku yenye Baraka tele.
Duuh!Usishangae kusikia bibi harusi ni member wa jf na huu uzi amechangia
Usikimbie bhanaaDuuh!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa. Ila umewaza mbali sana best Aisee.Usikimbie bhanaa