mimi naamini huyo mama kuna kitu kilimkuta mpaka akafanya hivyo,inavyosemekana alipata mimba akiwa form one,na aliempa mimba hajulikani ni nani.pengine adhabu yake akaona bora alipizie kwa huyo mtoto.pengine alibakwa,hatuelewi.mtu na akili zake timamu hawezi kufanya hivyo namuonea huruma huyo mtoto,kwani ni vizuri apewe ushauri na wana saikolojia.kwani na yeye akikua anaweza akafanya kama alivyofanyiwa na mama yake.is so sad kwa kweli
bado sio sababu ya kuharibu mtoto, kama mama alikuwa molested utoto alitakiwa amprotect mwanae na masahibu hayo.
si lazima awe mtoto wangu ndio nijue details, besides, mimi ni mdau wa sekta na ni msukununu kuliko unavyojuaulivyoitete hiyo vibaya sana nikadhani ni habari unazozijua kwa undani, kumbe na wewe ni mpokea habari kama mimi.
Vibaya sana ina range from kuwa na vidonda, non stpo bleeding, usaha, kutoweza kuzuia haja kubwa na ndogo, au hata kuondolewa marinda among others.
si lazima awe mtoto wangu ndio nijue details, besides, mimi ni mdau wa sekta na ni msukununu kuliko unavyojua
BTW sijui kama "ameharibiwa" na "vibaya sana" vinafanana... sorry, you may also need to review ujue wapi nimesema nini maana nahisi kama unahamisha maneno kimtindo
halafu wewe...:gossip: sukununu siku zote huwa hatoi full, :gossip:Review: nimeuliza kwa nia nzuri nani kasema kaharibiwa vibaya na vibaya hiyo ina maanisha nini - ulinijibu kuwa daktari na ukasema natakiwa nijue vibaya inaanzia wapi.
Nilijibu kuwa vibaya ina range kama nilivyotaja. Sijakutilia neno ila nadhani ulijibu kipengele visivyo anyway. Hakuna anayetaja mtoto kaharibiwa vibaya kiasi gani.
Kama wewe mdau na msukununu wa ukweli, by time nimeuliza ungekuwa unajibu kamili.