Mnataka wewe na nani na huo mpira upo wapi?labda kama unazungumzia busha lako kama mpira na hilo ulishafanyiwa operation haliwezi kurudi tena.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Jamal Malinzi nihonge nikupigie debe[/QU
Na hii hali ilivyo kuwa ngumu,
lazima kwenda sawa, hamna namna.
Wewe muhaya originalMKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Mnataka wewe na nani na huo mpira upo wapi?labda kama unazungumzia busha lako kama mpira na hilo ulishafanyiwa operation haliwezi kurudi tena.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
bosi wako yupo kikaangoniTaifa Stars ina wachezaji Wakihaya wangapi?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Frank nae katupwa segerea, ,ye ndio alikuwa kiherehere wa MalinziFrank wanjiru kaadimika
alikuwa ndo Mzee Jamal mwenyewe hahaahFrank wanjiru kaadimika
Je kama alianza na ngazi ya cheti?Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri
Acha wivu wa kise... Weka matokeo yako na weweMgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;
Nakutakia kila la kheri