Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

Mnataka wewe na nani na huo mpira upo wapi?labda kama unazungumzia busha lako kama mpira na hilo ulishafanyiwa operation haliwezi kurudi tena.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
1498595529236.jpg
 
Hivi mnapenda mpira wenu uongozwe na akili za akina Shafii?? Mayai jana uelewa wowote kuweza kuongoza taasisi kubwa km TFF. Yawezekana Malinzi hafai kabisa lakini Mayai siyo mbadala hata kidogo. Ni mwepesi sana kichwani
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Wewe muhaya original
 
Malinzi mchawi wa soka la bongo miaka inaenda tunarudi nyuma na kuganda palepale..huyu aende akakuzie migomba istawi
 
Anagombea mwenyekiti na kiti gani yaani wewe ni bogus kweli yaani hata hujui cheo wanachogombea halafu unatoa ushauri
TFF wana Rais sio mwenyekiti
 
Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
 
Mgombea wa TFF ; Ali Mayai Tembele Nakumbuka ni mhitimu wa Alharamain sec school; Kwa hili siombei uitwe Bashite ; Hakuna walaka wa Form six 0 ; kusoma degree hakuna kumbukumbu ya kurisit;

Nakutakia kila la kheri
Je kama alianza na ngazi ya cheti?
 
Hivi kupata degree lazima kupitia form six??? Hujui kuwa kuna njia nyingine ya kupitia cheti, stashahada then shahada?? Ulimuuliza kabla ya kuja kumchafua au mna ujirani kiasi kwamba unafahamu kila kitu kuhusu yeye??
 
Back
Top Bottom