Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
 
Hali mayai wala Tembele yeye anataka urais wa tifuatifua Tu mambo ya Mainzi peleka chooni.Vote for AMT

MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
 
Hali mayai wala Tembele yeye anataka urais wa tifuatifua Tu mambo ya Mainzi peleka chooni.Vote for AMT

[HASHTAG]#haliiiiiiii[/HASHTAG]???
Huyu sijamjua bado nahisi sie niliemwandika
 
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]

Malinzi asijaribu kufanya figisu zozote.

[HASHTAG]#ALLYMAYAIRAISTFF[/HASHTAG]
 
Malinzi kafanya nini la maana tokea ameingia?
Nilikua na imani naye wakati anaingia but ameni disappoint sana

umekosa posn nini mkuu
Ama ulitarajia.nn zaidi ya maendeleoo alioonyesha na anayoendelea kuyaonyesha
 
HAKUNA WANAOJIELEWA KAMA WAJUMBE WANAOENDA KUPIGA KELELE..LAITI WANGEKUWA WANASOMA KELELE ZA HUMU.NDOLANGA ASINGEKUWA ANASHINDA KILA.SIKU...SASA BASI

VOTE4JAMALMALINZI KWA MAENDELEO YA SOKA TANZANIA.

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
 
Mayai na Nyamlani wamewalipa tshs ngapi?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nimestushwa na Nyamlani kujiondoa sasa naona Malinzi kama amekosa mpinzani.

Yeye ndio alikuwa mgombea sahihi hasa ukizingatia alikuwa ndio injini ya Tenga. Sijui sababu nyuma yake lakini hakufanya fair kwa mashabiki wa soka waliokuwa na matumaini nae kuona anarudisha hadhi na heshima ya mchezo wa soka.
 
Back
Top Bottom