Alien corpses waonyeshwa

Mpaka sasa Hatuna teckonologia ya kutusafirisha kwenda masafa ya mbali kwenye anga.

Tunahitaji kumaster kutravel katika spid inayokaribia mwanga

Pia tuweze kuhiberbanate tukiwa safarini
Ufanyike utafiti basi kama kuna maisha huko tusepe tuwaachie akina gig mane hii dunia huenda huko hakuna hata hela nikula nakulala tu😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…