Alien corpses waonyeshwa

Alien corpses waonyeshwa

Hapana sijawahi kuviona, kwani wewe wewe ushawahi ona hydrogen atom.
Hakuna hiyo, mbona sijawahi kuviona kwa miaka yangu 45 niliyoishi hapa duniani. We ushawahi kuwaona? Kwanini wao na sio mimi na wewe?
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Hakuna hiyo, mbona sijawahi kuviona kwa miaka yangu 45 niliyoishi hapa duniani. We ushawahi kuwaona? Kwanini wao na sio mimi na wewe?
Kwanini hujawahi unda teknolojia ya 5g na umeziona 3g, 4g zikifanya kazi vzr. Kwanini wao sio mimi na wewe?
 
Uwepo wa hivi viumbe naamini, dunia hii ni ndogo na ina viumbe vya hatari hata visivyo onekana, mf majini na wenzie sasa sifikirii kwa ukubwa ulimwengu kua tupo wenyewe, wawe hao wanao dhaniwa ama lah ila naamini we are not alone
 
Hawana mzima hii wanadau ni archeological finding, miaka 1000 iliyopita ndio vilikuwa hai, vjmekutwa mapango ya peru mwaka 2017. Wamecheki DNA na kuona kuna utafauti mkubwa na ya binadamu
Ajabu ni kwamba wana Mayai ndani ya miwili yao.
Ni mpuuzi pekee ndiye anaweza kataa uwepo wa UFO.
Jaime Maussan anasema"Whether they are aliens or not, we don't know, but they were intelligent and they lived with us. They should rewrite history.'

'We are not alone in this vast universe, we should embrace this reality,' he said at the event. ".
Hawa viumbe waliwaikuwepo na wapo hadi leo.
Hapa duniani kuwewai Kalika na allies aina zaidi ya 15 baada ya kupigana vita kubwa ya nyuklia wengine(asilimia kubwa) waliodoka kwenda sayari zingine ila baadhi hadi leo wapo hapa duniani.
 
Kama kweli Marekani anamiliki hawa viumbe basi hoja ya kusema mkutano wa Putin na Kiduku ni tishio kwa Marekani itakuwa ni hoja ya kijinga
Sawa na tembo kusema chura nitishio anywapo maji wakati mkongo wake tuu, unatosha kunfukuza chura.

Wamarekani ni unajua wao ni wacheza muvi
 
Ajabu ni kwamba wana Mayai ndani ya miwili yao.
Ni mpuuzi pekee ndiye anaweza kataa uwepo wa UFO.
Jaime Maussan anasema"Whether they are aliens or not, we don't know, but they were intelligent and they lived with us. They should rewrite history.'

'We are not alone in this vast universe, we should embrace this reality,' he said at the event. ".
Hawa viumbe waliwaikuwepo na wapo hadi leo.
Hapa duniani kuwewai Kalika na allies aina zaidi ya 15 baada ya kupigana vita kubwa ya nyuklia wengine(asilimia kubwa) waliodoka kwenda sayari zingine ila baadhi hadi leo wapo hapa duniani.

Good. Nice name, one of my fav book
 
Back
Top Bottom