dr_verified Member Joined Aug 19, 2022 Posts 33 Reaction score 62 Sep 1, 2022 #1 Wana JF kumekua navhistoria tofauti tofauti na story nyingi kuhusu Hawa viumbe alienswanaosadikika kuepo au kuishi katika sayari nyingine, na wamekua wakitembelea dunia Mara kwa Mara. Swali langu: je ni kweli Hawa viumbe ( aliens) wapo?
Wana JF kumekua navhistoria tofauti tofauti na story nyingi kuhusu Hawa viumbe alienswanaosadikika kuepo au kuishi katika sayari nyingine, na wamekua wakitembelea dunia Mara kwa Mara. Swali langu: je ni kweli Hawa viumbe ( aliens) wapo?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 14, 2022 #2 Aliens wapo na ni Viumbe vyenye utaalam wa hali ya juu sana inavyoo onyesha makazi yao ni Chini ya Bahari. Lakini hakuna ajuae vina matabaka mangapi.
Aliens wapo na ni Viumbe vyenye utaalam wa hali ya juu sana inavyoo onyesha makazi yao ni Chini ya Bahari. Lakini hakuna ajuae vina matabaka mangapi.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Dec 15, 2022 #3 Mimi hapa naishi
S stars JF-Expert Member Joined Sep 10, 2020 Posts 819 Reaction score 1,118 Dec 16, 2022 #4 Uwepo wao ni wa kimwili (physical) au kiroho (spiritually)? Kama wanaishi kimwili, mbona wanapokuja duniani hatuwaoni?
Uwepo wao ni wa kimwili (physical) au kiroho (spiritually)? Kama wanaishi kimwili, mbona wanapokuja duniani hatuwaoni?