Aliens wanaishi?

Aliens wanaishi?

dr_verified

Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
33
Reaction score
62
Wana JF kumekua navhistoria tofauti tofauti na story nyingi kuhusu Hawa viumbe alienswanaosadikika kuepo au kuishi katika sayari nyingine, na wamekua wakitembelea dunia Mara kwa Mara.

Swali langu: je ni kweli Hawa viumbe ( aliens) wapo?

images%20-%202022-09-01T202041.732.jpg
 
Aliens wapo na ni Viumbe vyenye utaalam wa hali ya juu sana inavyoo onyesha makazi yao ni Chini ya Bahari.

Lakini hakuna ajuae vina matabaka mangapi.
 
Uwepo wao ni wa kimwili (physical) au kiroho (spiritually)? Kama wanaishi kimwili, mbona wanapokuja duniani hatuwaoni?
 
Back
Top Bottom