ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Hapa nimetoka kapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Hizi illusion mnazomezeshana wafia dini bila ya kutafakari vizuri zitawapeleka pabaya. Hope mkitaka kuelewa tu nini maqna ya chizi hamtokua na hisia za kipuu.zi kama hizi.
Na jee mlishawahi kujiuliza kwanini machizi wa kiislamu wanafanya hayo mauchizi yao kwa kuaminisha Allah ndio kila kitu wakati machizi wa kigalatia ni bwana Yesu tu kwa kwenda mbele?
ulaya wangenipa kitengo cha utafiti ila Africa watasema mgonjwa huyo ila wapo watu wanateseka na magonjwa bila kuyajua imefika wakati elimu na dalili zake watu waelezwe mana ile hali ya kutokuona raha tu ni sehemu ya tatizo ingawa Muumba huwa nyuma yake,
Hakuna cha ziwa la moto wala cha jehanam, hilo ni fundisho la kipagani.