Nimeagiza mzigo toka mwezi wa 6 mpaka sasa na yamebaki masaa kadhaa tu purchase protection iwe end sasa nataka nifungue dispute wakuu
Jee watanirefund?
Na pia wanataka niapload picha ya ushahidi pale napaswa kuweka nini nithibitishe kuwa sijapokea bidhaa??