Aliexpress nataka wanifanyie refund pesa yangu irudi mzigo haujafika

Aliexpress nataka wanifanyie refund pesa yangu irudi mzigo haujafika

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Nimeagiza mzigo toka mwezi wa 6 mpaka sasa na yamebaki masaa kadhaa tu purchase protection iwe end sasa nataka nifungue dispute wakuu
Jee watanirefund?
Na pia wanataka niapload picha ya ushahidi pale napaswa kuweka nini nithibitishe kuwa sijapokea bidhaa??
 
Back
Top Bottom