haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini?
Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto.
Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi.
Sitetei uzinzi ila naelewa kwanini wanafanya hivyo.