Sasa tuwape jina gani?Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini?
Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto.
Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi.
Sitetei uzinzi ila naelewa kwanini wanafanya hivyo.
Aisee kweli hili nalo likatazamwe.Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini?
Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto.
Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi.
Sitetei uzinzi ila naelewa kwanini wanafanya hivyo.
Solution ni kuwagonga ikiwezekana hata 0713 unakula tu na kuwakimbiaWanaleta sana nyodo wakitaka kuolewa 20s
#Kataa Ndoa
Daa we jamaa mbona shetani hivi?Solution ni kuwagonga ikiwezekana hata 0713 unakula tu na kuwakimbia
Feminism imewaamisha mwanamke hana haja ya mwanaume kwenye maisha yake.Hapana, ni ubinafsi mkubwa kutaka kuzaa kwa manufaa yako binafsi na kumkosesha mtoto nafasi ya uwepo wa baba kwenye familia.
Watulie tu, ndoa hata 40 ipo na watoto mtu hujaliwa na Mungu
πππππSasa tuwape jina gani?