PostGE2025 Alifikiri Alikuwa Anamkomoa Magufuli. Leo Kiko Wapi?

PostGE2025 Alifikiri Alikuwa Anamkomoa Magufuli. Leo Kiko Wapi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sitakuumiza Kamwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2025
Posts
466
Reaction score
1,457
Alikwenda Washington DC. Akaonana na dada wa taifa. Tukawa na matumaini makubwa. Eti anaifungua nchi. Na kuachana na yote ya Magufuli. Leo kiko wapi? Mpaka wanawindana kukamatana 😂

IMG-20251022-WA0101.jpg
 
Mbona hakuna tatizo, inamaana anapambana na yeyote anaekiuka haki za wengine na kupambania haki na usawa kwa wote. Haijalishi alikukubali au la, ukizingua yupo na wewe. Dada wa taifa yupo sawa kabisa.
 
Kwama alirusha bumerang asa imemrudia mrushaji?
 
Back
Top Bottom