Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kutuletea Movie za kihindi Mzee?, hakuna mahakama itakayofanya kosa la namna hiyo mkuu.Alifungwa jela miaka 30 akituhumiwa kuua, lakini alipotoka gerezani akamuona aliyedaiwa kumuua, sasa kwa hasira akaamua kumuua, je sheria inasemaje au atahukumiwa tena kwa kuua?
Ni hayo tu kwa sasa.
hahaaa duu.. kwa hiyo hapo unaaply sheria au mbinu za kisasi kijamiiSwali; Ameshafanya au anataka kwenda kufanya hayo mauaji? Afanye hivi; Kwanza afanye juu chini kuweza kuthibitisha huyo jamaa ndiye kweli aliye tangazwa kuwa alimuua. Atafute rekodi za kimahakama na hukumu yake iliyotolewa kuwa afungwe kwa kumuua Mr. X. Akiisha kuhakikisha kavipata hivyo, basi aende akamkamate vizuri mtu wake, amuue taratiibu kabisa ahakikishe kafwa fwiiii. Ajiendee nyumbani baada ya kumwachia ujumbe kuwa; Nimekurudisha ulikotoroka kwani nilishapewa adhabu ya kukutuma huko. Nimekukuta kumbe umetoroka huko sasa nimekurudisha huko kuzimu kwenyu.
Auache ujumbe huo juu ya maiti yake aende home akangojee waje. Awaulize, ninyi ni mahakama ya kuzimu au?? Kwani mnayesema nimemuua alikwisha kufa miaka 30 iliyopita. Mmemfufua au?
hahaaa duu.. kwa hiyo hapo unaaply sheria au mbinu za kisasi kijamii
syntax tatizo. NisameheSiyo Movies ndg hii Marekani imetokea Sana cha msingi jibu swali hapo Kama itatokea hiyo how could you solve it in accordance to ur proffesional
A KanoonJamaa kaamua kutukumbusha enzi za amitha bachani! Nlikuwa nahudhuria pindi bila kukosa kwenye vibanda umiza! Hivi Ile move inaitwaje vile wahenge!
Mahakama ya wapi hiyo?Alifungwa jela miaka 30 akituhumiwa kuua, lakini alipotoka gerezani akamuona aliyedaiwa kumuua, sasa kwa hasira akaamua kumuua, je sheria inasemaje au atahukumiwa tena kwa kuua?
Ni hayo tu kwa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Swali; Ameshafanya au anataka kwenda kufanya hayo mauaji? Afanye hivi; Kwanza afanye juu chini kuweza kuthibitisha huyo jamaa ndiye kweli aliye tangazwa kuwa alimuua. Atafute rekodi za kimahakama na hukumu yake iliyotolewa kuwa afungwe kwa kumuua Mr. X. Akiisha kuhakikisha kavipata hivyo, basi aende akamkamate vizuri mtu wake, amuue taratiibu kabisa ahakikishe kafwa fwiiii. Ajiendee nyumbani baada ya kumwachia ujumbe kuwa; Nimekurudisha ulikotoroka kwani nilishapewa adhabu ya kukutuma huko. Nimekukuta kumbe umetoroka huko sasa nimekurudisha huko kuzimu kwenyu.
Auache ujumbe huo juu ya maiti yake aende home akangojee waje. Awaulize, ninyi ni mahakama ya kuzimu au?? Kwani mnayesema nimemuua alikwisha kufa miaka 30 iliyopita. Mmemfufua au?
Andha kanoonJamaa kaamua kutukumbusha enzi za amitha bachani! Nlikuwa nahudhuria pindi bila kukosa kwenye vibanda umiza! Hivi Ile move inaitwaje vile wahenge!
Kama hakumuua awali huyo ambaye inasemekana alimuua basi kimsingi na kisheria hakupaswa shitakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la mauaji bali jaribio la kuua yaani 'attempt murder' na hilo tukio la pili baada ya kutoka jela ni mauaji ya kukusudia 'murder'.Alifungwa jela miaka 30 akituhumiwa kuua, lakini alipotoka gerezani akamuona aliyedaiwa kumuua, sasa kwa hasira akaamua kumuua, je sheria inasemaje au atahukumiwa tena kwa kuua?
Ni hayo tu kwa sasa.
andhaa kanoonJamaa kaamua kutukumbusha enzi za amitha bachani! Nlikuwa nahudhuria pindi bila kukosa kwenye vibanda umiza! Hivi Ile move inaitwaje vile wahenge!