Pole sana mkuu,sasa ivi hata ukimtafuta kumsihi arudi hawezi akakuelewa, lakufanya kaza moyo kibingwa,huu ndo mda jiimarishe kiuchumi, kimwili, kiafya na kiroho,jipatie wakati mzuri na ujipende,yafurahie maisha, hawa wenzetu ukiwaendekeza hutakaa ufurahi,na ukizingatia siku zetu za kuishi zinahesabika na kuisha kwa kasi.