Alijiandaa kuniumiza moyo.

Alijiandaa kuniumiza moyo.

Njoo tunywe bia, imeandikwa tutapewa wanawake 1000 tena bikra huko peponi
 
Mnawapa kipaumbele wanawake walizaliwa miaka ya 1980+++,


Wanawake walikua enzi izo Mazee
Hiki kizazi ambacho ndo tunazaa nacho saizi ...khaaaaaa !!
 
Pole sana mkuu,sasa ivi hata ukimtafuta kumsihi arudi hawezi akakuelewa, lakufanya kaza moyo kibingwa,huu ndo mda jiimarishe kiuchumi, kimwili, kiafya na kiroho,jipatie wakati mzuri na ujipende,yafurahie maisha, hawa wenzetu ukiwaendekeza hutakaa ufurahi,na ukizingatia siku zetu za kuishi zinahesabika na kuisha kwa kasi.
 
Back
Top Bottom