yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Kwa staili hii hii tutazidi kuwachakata na kuwaacha mkiwa single mamaAlijifanya kidume, anajua kupigana. Kanipiga kofi na teke la mbavu bila sababu za msingi, nikasema hunijui wewe kama na mapenzi yaishe tu. Nikaenda kumchukulia RB, polisi wamemkamata wamemlaza lock up.
Sasa hivi eti ndio akili zinamkaa sawa anajifanya kunitumia wajumbe wamuombee msamaha.