Alijifanya kidume, nimemlaza lock up

Hapa mjini huitaji kulilia jikaze wai sipendwagwi nakila mtu humu popote kisa sijipendekezii mie naishi kwa usawa nakusema kama umekosea sina chakuficha mimi. Mtu haniui unajua kwa sababu gani ni Mungu huyu aliye hai ananilinda.
 
Siku wife akinilaza mahabusu that'd be a deal breaker.
 
Nina miaka 13 kwenye ndoa sijawahi mpiga mke wangu kwa namna yoyote na si kwamba ugomvi hautokeagi ila huwa nawaza mema alonitendea na anayoendelea kunitendea huyu mtoto wa watu nikiuangalia mwili wake kuanzia usoni hadi
Hamna kitu unajua. Kama umebahatika kupata mwanamke mtulivu mshukuru Mungu kwa hilo na kaa utulie lakini siyo kucomfirm kwamba mwanamke hapigwi

Sometimes lazima apashwe makofi kadhaa kama msisitizo na kumuweka atention kidogo
 
Alokwambia Upenzike na Kichaa nani? Maana kichaa ndio hupiga watu bila sababu au laah wewe ndio kichaa na kichaa kimesababisha ulambwe mbata. Hakuna mtu timamu anaweza kuamka na kumkanda mtu mateke na makofi bila sababu, so sababu ipo, ni aidha wewe au yeye mmoja ndio sababu
 
Sifa ya mwanaume ni madeni na Lupango huko Lupango atatoka ila ile alama ya wewe kupigwa haiishi alafu hata polisi hamuwezi enda kila ugomvi au kila upigwavyo haujamkomoa nakuhakikishia hilo
 
Unaambiwa baada ya jamaa kutoka ndani, sasa hv wote wanaishi pamoja ni kitanda tuu ndio kinapata shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…