Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Mnamo Septemba 2021, mwanamitindo kutoka nchini Brazil Cris Galera, alifunga ndoa na kujioa mwenyewe kwa sherehe aliyoalika ndugu jamaa na marafiki,
Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo alidai, anachokitaka zaidi ni uhuru wake na kujipenda kuliko kumpenda mtu mwingine.
Lakini katika hali ya kushangaza mwanamke huyo aliamua kujitaliki baada ya kupata mpenzi na kushindwa kuzuia hisia zake ambapo anasema alianza kuamini tena katika mapenzi ya watu wawili,
Cris alijipa talaka na kufanya ndoa yake idumu kwa miezi mitatu tu (siku 90)