Alikamwe: Tutaipongeza kila timu ikitokea kucheza na Yanga, wengine hukimbia

Alikamwe: Tutaipongeza kila timu ikitokea kucheza na Yanga, wengine hukimbia

1739388788187.jpg
 
Mkuu ina maana huwa hauzioni nyuzi za genta?
Bora mashabiki wa simba wanaoishia kucomment tu, mashabiki wa yanga hadi sasa wameshaanzisha nyuzi takriban elfu moja za kuwasema simba, na zote hizo ni magazeti na majarida yaliyojaa chuki, mihemko, hasira, wivu, nk
 
Mkuu ina maana huwa hauzioni nyuzi za genta?
Huwa naziona ila idadi ya nyuzi zake haijafikia idadi ya nyuzi za mashabiki wa yanga, halafu genta mara nyingi anayoyaandika huwa ni ukweli, ila hao mashabiki wa yanga sasa daah ngoja niishie hapa
 
Tatizo mkuu unazi umekujaa ndo maana unaona uzushi wa genta kuwa ukweli. Na nyuzi za mashabiki wa makolo hauzioni sababu hio. Tolerance mkuu hii kitu inasaidia sana.
Huwa naziona ila idadi ya nyuzi zake haijafikia idadi ya nyuzi za mashabiki wa yanga, halafu genta mara nyingi anayoyaandika huwa ni ukweli, ila hao mashabiki wa yanga sasa daah ngoja niishie hapa
 
Kama utopolo mngekuwa na kikosi bora na kipana, msingeambulia matokeo mliyoyapata dhidi ya jkt, azam na tabora bila kusahau klabu bingwa
Kumbe huelew wewe .....Yanga sometimes wanapoteza mech Ili kuleta balance kwenye ligi

That y pamoja na kupoteza izo .....lkn they are leading

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom