Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Na maharage ya mbeya hayaishi kurukaruka yanApoiva kama inakuja hv
 
Unaenda mwezi wa tano huu, sijaelewa kitu wajameni!!!

Wataalamu wa kulegeza code njooni huku.
 
Uzi unaendana na kipind cha sasa
Mission ilifeli ile ilikua kumuondoa Sasha kwa kiti!!

Ndio wakaja na plan B ya bloody pools ya October 29 ili ku mu expose icc apate vikwazo na uongozi wake uwe kizungumkuti!
sasa ndio kelele zinaendelea majuu huko na humu ndani!!

Bahati nzuri na yeye anacheza !matokeo tutayaona!!
 
Pingili ni yule X wa wizara ya vidonge na sindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…