Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 501
- 990
@
britanicca tunaomba ufungue codes za majina maana ni miaka sasaWakagundua watu hawa ni Hatari
1. Mwanaume wa 70+
2. Mwanaume wa 70+. 2
3. Jamaa mkubwa sana TWISHIII
4. Mzee wa BANDARI
5. NISHA
6. MZEE WA FIRIGISI
7. WA MAGNET GANG WATATU
8. MAPINGILI SHINGONI alihisiwa kwa kuwa alitajwa Mara moja kwenye ishu ya NAMDI
9. YALE YA MBEYA NAYO YALITAJWA MAANA YANARUKARUKA SANA WAKATI WA KUIVA
10. WAFADHILI WANNE WA HAPO KWENYE NGAMIA MMOJA ANAKWENDAGA SANA KUSINI
11. GENZ , huyu nimempa jina hili Kwakuwa ameshtumiwa kwa kuhisiwa tu ila hakutajwa popote, kilichofanya aangaliwe ni kijana kabisa wa mmoja wa niliotaja juu,