Alikiba aachia goma jipya linalokwenda kwa jina la joho tena

Alikiba asubil sana kwa mind hata hivyo mashabaiki wa kiba wanauvumilivu asee
 
Wakuu na wataalamu wa mziki Ali kiba kàachia nyimbo ata sijaielewa kiukweli jamaa anapotea vibaya kwenye game
Povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app


Kiba si mwanamuziki ni msanii. Siku zote msanii si mtu wa kuona mbali kwani yeye anaiga tu na si mbunifu, si unaona hata Domo naye hajitambui siku hizi mpaka anauza karanga. Wasanii wana kikomo na wakishafikia hapo ndiyo basi....watatafuta biashara nyingine za kuwasindikiza.
 
Hawezi kupotea yy anafanya biashala na huyo joho001 anaela kisenge so mashabiki uchwala semen atapotea na mm naww bado tupo

Kibakuli hapotei labda apumzke tuu [emoji39]
 
Yaani wewe ni nanyupu kweli. yaani huo wimbo wa kampeni ndo umeona ngoma kali? wimbo kama wa kanisani!! amakweli unafiki hauta acha mtu salama.
 
Ukiona kitu haukijui basi unauliza kwanza kwa jirani yako hapo ulipo,Joho Tena ni wimbo wa kampeni kwa ajili mshikaji wake wa Mombasa anaitwa Joho ni kama marehemu Capt Komba alivyotuimbia CCM nambari 1 vileeee
 
Ukiona kitu haukijui basi unauliza kwanza kwa jirani yako hapo ulipo,Joho Tena ni wimbo wa kampeni kwa ajili mshikaji wake wa Mombasa anaitwa Joho ni marehemu Capt Kombo alivyotuimbia CCM nambari 1 vileeee
[emoji106]
Hapo umeeleweka vizuri.

-Ndumilakuwili-
 
Kwisha habari yake,sio kwa upuuzi huu aliotuwekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…