seph0408
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 1,180
- 703
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini kilichokufanya uamini kuwa mond atasubiri sana kwa kiba?Alikiba asubil sana kwa mind hata hivyo mashabaiki wa kiba wanauvumilivu asee
Wakuu na wataalamu wa mziki Ali kiba kàachia nyimbo ata sijaielewa kiukweli jamaa anapotea vibaya kwenye game
Povu ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio nyimbo ni wimbo kwa sababu upo mmoja.kama wewe hujaielewa hiyo nyimbo Haimaanishi kuwa Ndio anapotea
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Nyimbo ngapi??Hatimae katoa nyimbo??
Rubiikimimi[emoji85]
akili za usiku [emoji56][emoji56][emoji56][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mkuu sio nyimbo ni wimbo kwa sababu upo mmoja.
mafisadi hayana chama
kama wewe hujaielewa hiyo nyimbo Haimaanishi kuwa Ndio anapotea
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app[/QUOTE ]
Nmekuelewa kaka
Kwishaaaa jeuri yake.Nadhani hili lipo kibiashara zaidi. Kama una mijihela, unaweza hata kumualika Beyonce na mumewe Jay Z wakaja kwako kuwaimbia nyimbo wanao kwenye birthdays zao
Yaani wewe ni nanyupu kweli. yaani huo wimbo wa kampeni ndo umeona ngoma kali? wimbo kama wa kanisani!! amakweli unafiki hauta acha mtu salama.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena
Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Ukiona kitu haukijui basi unauliza kwanza kwa jirani yako hapo ulipo,Joho Tena ni wimbo wa kampeni kwa ajili mshikaji wake wa Mombasa anaitwa Joho ni marehemu Capt Kombo alivyotuimbia CCM nambari 1 vileeee