chuki ni ulozi wa mchanaJamaa mbovu wa Mashairi, ameshindwa kabisa kupangilia vina na ulali?
chuki ni ulozi wa mchana
Hahahahahaha na kwel loh
Unajua wabongo wengi kule instagram wana akili za kushikiwa, hawafikirii na wala hawawazi. Ni watu wa ajabu sana..watu wa mahaba niue, washabiki maandazi..washabiki bendera hufuata upepo....wewe mleta mada ni mmoja wao.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena
Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY
Hapo ulivyoandika kwa watu wazima tunajua unaseduce mama ni sawa na kusema mimi ni shabiki wa diamond ila namkubali Kiba kwa timu hizi hii si kweliMimi ni shabiki wa Ali Kiba loong long tym, lakini sikubaliani na namna ambavyo mashabiki wa leo wa Kiba wanavyofosi kuwa ni lazma Kiba awe juu ya Diamond!!
Diamond amesavaiv sana na amefanikiwa mno kwa kila jambo kuliko Kiba!!
Sent using Jamii Forums mobile app