Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Aende huko..yeye si mfalme..badala ya kupambana aboreshe kazi zake ziendelee ku cross boarder anakalia maneno ya kiswahili..yeye si king? kwanini naye hakuhonga? thats too cheap kupenda kupata umaarufu wa huruma kupitia mgongo wa mtu!