Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,004 Reaction score 3,695 Nov 17, 2015 #161 Aende huko..yeye si mfalme..badala ya kupambana aboreshe kazi zake ziendelee ku cross boarder anakalia maneno ya kiswahili..yeye si king? kwanini naye hakuhonga? thats too cheap kupenda kupata umaarufu wa huruma kupitia mgongo wa mtu!
Aende huko..yeye si mfalme..badala ya kupambana aboreshe kazi zake ziendelee ku cross boarder anakalia maneno ya kiswahili..yeye si king? kwanini naye hakuhonga? thats too cheap kupenda kupata umaarufu wa huruma kupitia mgongo wa mtu!
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Nov 17, 2015 #162 kedrick said: Mkuu album ya olamide ya lini.? Olamide mbona hajatoa album Click to expand... Sijasema katoa mkuu,ilikua ni cover photo ya album ambayo inatoka tarehe sawa na album ya Runtown.Nawasilisha.
kedrick said: Mkuu album ya olamide ya lini.? Olamide mbona hajatoa album Click to expand... Sijasema katoa mkuu,ilikua ni cover photo ya album ambayo inatoka tarehe sawa na album ya Runtown.Nawasilisha.
Y yusuph de brave Member Joined Jan 7, 2015 Posts 38 Reaction score 20 Nov 27, 2015 #163 manen ndo yanayo mponza,davido,wizkid hawajalalamika,sasa alitaka wampe yeye wimbo bora wa mwka,umewika wap km sio tanzania tu
manen ndo yanayo mponza,davido,wizkid hawajalalamika,sasa alitaka wampe yeye wimbo bora wa mwka,umewika wap km sio tanzania tu