Alikiba afunika cokestudio

Alikiba afunika cokestudio

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
WAkuu katika mash up collabo za nyimbo 4 alizofanya Alikiba na Victoria Kimani (Kenya), Mash up 3 zote zimepata kura nyingi na kuingia directly kwenye Album ya CokeStudio.

Hii ni historia East Africa tangu kuanzishwa kwa Cokestudio haijawahi tokea msanii kutoka East Africa aingize mash up nyingi kama ilivyotokea kwa Alikiba na Victoria Kimani.

Hongera #Kingkiba
 
Eti watu wanatumia hela nyingi ili yeye akose tuzo. King bana
 
inatakiwa ianze na azam studio waendelee kumuweka mjini
 
Safi sana kama umeweza kumfunika victoria kimani taratibu unaanza kupanda siku si nyingi utakuja kumfunika v.money halafu atafuatia Ommy Dimpoz mara Jide utamuona kwa mbali unamkalibia.
 
attachment.php
 
Mkuu unaposema toka coke studio ianze mbona hapo nakua sikuelewi maana masuala ya kupigia kura mash up ili ziingizwe kwenye album yameanza msimu huu tu wa 3, misimu miwili iliyopita hakukua na album ya coke studio wala upigaji wa kura!

Usidanganye watu mkuu
 
Safi sana kama umeweza kumfunika victoria kimani taratibu unaanza kupanda siku si nyingi utakuja kumfunika v.money halafu atafuatia Ommy Dimpoz mara Jide utamuona kwa mbali unamkalibia.

Hahahahahahahh!!!!!!! unanivunja mbavu mkuu....
 
Teh teh coke inabidi apewe tuzo ya cocacola kubwa

Domo alishiriki pia lakiniiiiiiiiiiiiii haikuwa bahati yake hahahahaaaaa yangekuwa mashindano ya wasanii wenye midomo mikubwa naamini angeweka rekod
 
Back
Top Bottom