Alikiba akwama , tamasha la fungu mwaka layeyuka

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Leo boxing day tarehe 26 msanii Alikiba aliahidi kufanya tamasha kubwa la funga mwaka na kushukuru mashabiki zake pamoja na kuzindua bidhaa zake mpya sokoni katika eneo la Escape one
Lakini tamasha limeshindwa lufanyika kutokana na kukosa kibali cha kufanya tamasha usiku kucha, sheria ya mkoa wa DSM inasema matamasha yote ya wazi mwisho ni saa 6 usiku, Alikiba alikuwa akifanya mipango apate kibali maalumu ili afanye hadi asubuhi lakini imeshindika.
Kwasasa ni ngumu wasanii kufanya matamasha makubwa jijini DSM na kufanya wasanii wengi kukimbilia mikoani
Hasimu wake Diamond na timu yake WCB wamekimbilia nchini Kenya ambapo Diamond atafanya show Naivasha, Rayvanny atafanya Mombasa , Rich Mavoko atakuwa Nairobi na Harmonize pekee atakuwa kwao Mtwara pale nang'wanda sijaona
 
Lazima atakuwa Diamond tu ndio kamfanyia njama, inakuwaje King akose kibari bila sababu.
 
Haahahahaaa....
Dah.. Sawa.
 
Duuh pole yake ...sheria zimemkosesha dili
 
Bila kutafuta kick kwa chalii ya Tandale mwanakariakoo hana maisha tena tungekuwa tumeshamweka kwenye vitabu vya historia.
 
Meneja wa Diamond Platnumz anahusika moja kwa moja.
 
Alikiba anajua sana kuimba lkn yule jamaa 70% ya mambo yako ya muziki anafeli......ko nothng new
 
Mbona hujaeleza kuwa Kiba naye atakuwa na tamasha Kigali?
 
Ana ngoma 2 tu seduce me na Aje ...hazitoshi kwa usiku mzimaa
 
Kawatuma SHILAWADU wapige picha nyumba ya kigogo mmoja na waseme ni mali yake.
 
Angeenda uwanja wa taifa ruksa ila nahisi kanusa kitu ndio maana kaja excuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…