brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Leo boxing day tarehe 26 msanii Alikiba aliahidi kufanya tamasha kubwa la funga mwaka na kushukuru mashabiki zake pamoja na kuzindua bidhaa zake mpya sokoni katika eneo la Escape one
Lakini tamasha limeshindwa lufanyika kutokana na kukosa kibali cha kufanya tamasha usiku kucha, sheria ya mkoa wa DSM inasema matamasha yote ya wazi mwisho ni saa 6 usiku, Alikiba alikuwa akifanya mipango apate kibali maalumu ili afanye hadi asubuhi lakini imeshindika.
Kwasasa ni ngumu wasanii kufanya matamasha makubwa jijini DSM na kufanya wasanii wengi kukimbilia mikoani
Hasimu wake Diamond na timu yake WCB wamekimbilia nchini Kenya ambapo Diamond atafanya show Naivasha, Rayvanny atafanya Mombasa , Rich Mavoko atakuwa Nairobi na Harmonize pekee atakuwa kwao Mtwara pale nang'wanda sijaona